📖
'MEWAKA, kwanza, MEWAKA!': Utekelezaji wa Mfumo Endelevu wa Maendeleo ya Kitaalamu wa Walimu nchini Tanzania
Todd, Gemma Joan Nifasha, Xu, Eilleen, Liang, Xiaoyan, Shukia, Richard, Kanukisya, Blackson, Emanuel, Gaudensia, Marandu, Daniel, Marobo, Stansilaus

'MEWAKA, kwanza, MEWAKA!': Utekelezaji wa Mfumo Endelevu wa Maendeleo ya Kitaalamu wa Walimu nchini Tanzania

Economics & Development Published 2026 Verification Pending

Overview & Synopsis

Mnamo mwaka wa 2021, Tanzania ilianza utekelezaji wa Mfumo wa Maendeleo Endelevu ya Kitaaluma ya Walimu (TCPD), unaojulikana kwa jina la Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA). MEWAKA unatambua kwamba TCPD yenye ubora hufaidika kutokana na njia mbalimbali za utoaji wa mafunzo, na hivyo hufanyika kupitia jamii za ujifunzaji katika ngazi za shule na vikundi vya shule (clusters), kujifunza binafsi kwa njia ya mtandao, pamoja na ufundishaji na ushauri wa kitaaluma (coaching na mentoring). Waraka huu wa kazi unawasilisha matokeo ya tathmini ya mchakato iliyofanyika katika sampuli ya mamlaka tisa kati ya mamlaka 26 za kwanza za serikali za mitaa zilizoanza kutekeleza MEWAKA mwaka 2021. Tathmini hiyo ilifanywa na timu ya watafiti kutoka Benki ya Dunia na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa ushirikiano wa karibu na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) pamoja na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG).

Advertisement
SPONSOR CONTENT
Indexed from repository: World Bank Documents & Reports (documents.worldbank.org)
Loading document from verified source...
Keyboard Shortcuts: ← / → for pages • + / - for zoom • 0 to fit width Powered by Mozilla PDF.js v3.11

Document Information

Document Title 'MEWAKA, kwanza, MEWAKA!': Utekelezaji wa Mfumo Endelevu wa Maendeleo ya Kitaalamu wa Walimu nchini Tanzania
Author / Organization Todd, Gemma Joan Nifasha, Xu, Eilleen, Liang, Xiaoyan, Shukia, Richard, Kanukisya, Blackson, Emanuel, Gaudensia, Marandu, Daniel, Marobo, Stansilaus
Subject & Discipline Working Paper (Numbered Series)
Categories Economics & Development
Publication Year 2026
License / Rights Creative Commons Attribution 4.0 (CC BY 4.0)
Resource Verification Listed PDF (Verification Pending)
Original Host Website World Bank Documents & Reports (documents.worldbank.org)
File Format application/pdf (Portable Document Format)
Language EN
Catalog ID DOC-40901
Original Source Link Visit Source Page on documents.worldbank.org »